Author: Jamhuri
Mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta umeleta mapinduzi ya kiuchumi kwa wananchi Tanga
📌Wananchi wampongeza Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio ya ujenzi wa Mradi, wafikia asilimia 64.2 📌 Timu ya wataalamu wa SULUHU wakutana na Uongozi wa Mkoa wa Tanga, kueleza mafanikio ya mradi…
Tanzania, IFRC wajadili kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kibinadamu Afrika Mashariki
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Dodoma Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Denis Londo (Mb) amelishukuru Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC) kwa mchango…
Rais Samia aendelea kuboresha miundombinu ya Jeshi la Polisi nchini
Na Jeshi la Polisi, Dodoma Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas, akimpitisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, akiwa ameambatana na Makamishna wengine kwenye maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi…
Waziri wa Cuba ajiuzulu baada ya kusema nchi haina ombaomba
Waziri wa Kazi wa Cuba Marta Elena Feitó Cabrera amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa maoni ya kukanusha kuwepo kwa ombaomba katika kisiwa hicho kinachoongozwa na Wakomunisti. Waziri alikuwa amesema hakuna kitu kama “ombaomba” nchini Cuba na watu wanaopitia takataka walikuwa,…
China yaiunga mkono Iran dhidi ya uonevu
China itaendelea kuiunga mkono Iran katika kulinda mamlaka yake ya kitaifa na heshima, pamoja na kupinga siasa za ukuu na uonevu. Haya yamesemwa leo na waziri wa mambo ya nje wa China kwa mwenzake wa Iran. Katika taarifa iliyotolewa na…





