Author: Jamhuri
Wahasibu Afrika waaswa kuisimamia ukweli wa taaluma yao
📌 Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Kufunga Mkutano AA 📌 Asema Afrika Inawategemea Wahasibu Kunufaika na Utajiri wake 📌 Asisitiza Matumizi ya Teknolojia kwa Wahasibu Afrika Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na…
Wanajiosayansi nguzo muhimu kufanikisha vision 2030
Na Ashrack Miraji,JamhuriMedia, Tanga Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema kuwa wanajiosayansi ni nguzo muhimu katika kufanikisha dhana ya Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri. Mbibo ameyasema hayo Desemba 04, 2024 Jijini Tanga wakati akifungua Mkutano…
Chuo cha Serikali za Mitaa chamuunga mkono Rais Samia Matumizi ya nishati safi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,DODOMA CHUO cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI)kimejizatiti kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha matumizi ya nishati safi yanapata kipaumbele nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika Kongamano…
Aweso ajikita katika matumizi ya teknolojia suluhu ya upotevu wa maji nchini
SEOUL, KOREA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso(MB) amewasili Seoul nchini Korea Kusini kwa mualiko maalumu wa Benki ya Exim ya Korea na mfuko wa mashirikiano ya kiuchumi wa Korea (EDCF) ambapo anatarajia kukutana na Makamu wa Rais wa…
Mmoja afariki, wanne wajeruhiwa katika matukio mawili tofauti Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon, ameishukuru Serikali kwa kuipatia Halmashauri ya Kibaha Mji kiasi cha sh. bilioni 8 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kisasa la maduka makubwa (shopping mall), ambalo linatarajiwa…
Suala la matumizi bora ya nishati liwe kwenye mipango yetu ya Serikali – Dk Biteko
📌Nia ni kuhakikisha Bara la Afrika linatumia nishati kwa ufanisi na kupunguza upotevu wa umeme 📌Afungua Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati (REEC 2024) 📌Azindua Mkakati wa kwanza wa Kitaifa wa Matumizi Bora ya Nishati 📌 UNDP, WB…