Author: Jamhuri
Rais Samia kuhudhuria sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru Umoja wa Visiwa vya Comoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia anasafiri kwenda Umoja…
Hamas yakaribisha mazungumzo ya kusitisha vita
Shirika la ulinzi wa raia la Gaza limetangaza kuwa operesheni za kijeshi za Israel zimesababisha vifo vya watu 32 katika Ukanda wa Gaza. Kwa mujibu wa msemaji wa shirika hilo jana, Mahmud Bassal, watu wanane wameuawa kwenye mashambulizi mawili yaliyolenga…
Rais Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu
Rais wa Kenya William Ruto amesema anajenga kanisa katika Ikulu jijini Nairobi ambalo atagharamia mwenyewe – na kuongeza kuwa hana sababu yoyote ya kuomba msamaha. “Sitamwomba mtu yeyote msamaha kwa kujenga kanisa. Shetani anaweza kuwa na hasira na anaweza kufanya…
Trump :Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kujilinda
Rais wa Marekani Donald Trump alisema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kwa ajili ya ulinzi wake, baada ya kuzungumza na Rais Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa, na kueleza kukatishwa tamaa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kushindwa kusitisha mapigano. Trump…
JKCI yatoa elimu ya lishe kwa kutumia pyramid ya vyakula halisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi wanaotembelea banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) lililopo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam wanapata elimu ya lishe bora inayotolewa kwa vitendo kwa kutumia…





