JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania na UNODC kuendelea kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na uhalifu wa mazingira

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya Kanda ya Afrika Mashariki (UNODC ROEA), imejipanga kuendelea kuimarisha ushirikiano katika…

Mkesha Maalum wa kuliombea Taifa kufanyika Februari 28, mwaka huu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka huu, waumini wa Madhehebu mbalimbali nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika Mkesha Maalum wa kuombea taifa na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu…

Waziri Mavunde apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo

▪️Awataka wenye leseni kufuata taratibu za kisheria za msaada wa kiufund ▪️Serikali kutunga kanuni za kuratibu wageni kwenye Leseni ndogo ▪️Awataka RMO kufanya ukaguzi katika maeneo yao ▪️Awaonya wachimbaji wanaoingiza wageni kinyemela 📍Morogoro Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga…

Kamati ya kuchunguza wafanyabiashara wageni Kariakoo yafikia pazuri

…Yaaendelea kuwahoji wafanyabiashara Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMATI iliyoundwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo kuchunguza wafanyabiashara wa kigeni maeneo ya Kariakoo imefikia asilimia 50 ya uchunguzi wake na imeahidi kukabidhi ripoti hiyo Machi…

Papa ashindwa kuongoza misa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, jana Jumapili ameshindwa kuongoza misa kama ilivyo kawaida yake kutokana na matatizo ya kiafya yanayomsumbua. Vatican ilithibitisha kupitia taarifa rasmi kwamba Papa Francis hatokuwa na uwezo wa kuongoza misa hiyo kutokana na changamoto…

Imamu aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja auawa

Muhsin Hendricks, mtu mashuhuri aliyejulikana kama imamu wa kwanza duniani aliyejitangaza hadharani kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ameuwa kwa risasi nchini Afrika Kusini. Kiongozi huyo wa kidini mwenye umri wa miaka 57 alikuwa anaongoza msikiti mmoja katika jijini la…