Author: Jamhuri
WMA yahakiki vipimo asilimia 99 ya lengo
Na Veronica Simba – WMA Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) nchini imekagua na kuhakiki vipimo 1,013,859 ambavyo ni sawa na asilimia 99.2 ya lengo la kukagua vipimo 1,022,342 katika mwaka wa fedha 2024/2025. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt….
Tanzania, Jamhuri ya Czech zasaini mkataba wa kuondoa utozaji kodi ya mapato mara mbili na kuzuia ukwepaji wa kodi
Na. Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa…
TAMISA kufanya kongamano Mei 16, mwaka huu
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kwanza lililoandaliwa na Taasisi ya Wasambazaji wa sekta ya Madini Tanzania (TAMISA) litakalofanyika Mei 16, mwaka huu jijini Dar es Salaam….





