JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watu 700 wachunguzwa moyo Arusha

Watu 700 wamepata huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika maonyesho ya kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Wanawake yaliyofanyika jijini Arusha. Huduma hizo zilitolewa kwa muda wa siku saba katika viwanja vya TBA Kaloleni na wataalamu wanawake wa magonjwa…

Israel yasitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza

Israel imesitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza huku ikijaribu kuishinikiza Hamas kukubali kuongezwa muda wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano. Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas kimsingi yalimalizika mwishoni mwa wiki iliyopita….

‘Ulaya imeendelea kutegemea silaha kutoka Marekani’

Nchi za NATO barani Ulaya ziliongeza zaidi ya maradufu uagizaji wa silaha huku ikinunua zaidi ya asilimia 60 ya silaha za Marekani, hii ikiwa ni kulingana na ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Amani (SIPRI). Nchi za Ulaya…

Papa aendelea vizuri na matibabu

Papa Francis, ambaye amekuwa akiugua homa ya mapafu na mkamba kwa zaidi ya wiki tatu, aliwasifu wahudumu wa afya wanaomhudumia kwa uangalizi wao wa huruma. Kwa Jumapili ya nne mfululizo, papa wa Argentina hakuwepo kutoa baraka zake za kila wiki,…