JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mhagama kwenye mkutano wa nishati  

Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akikagua mabanda ya hospitali maalum zilizotengwa kwa ajili ya kuhudumia wageni wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) unaofanyika kwa siku mbili…

Yaliyojiri leo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa viongozi wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati -Misheni 300

Aliyosema Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko Kama ilivyobainishwa katika Ajenda ya Afrika 2063 na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), leo Dar es Salaam inayo heshima ya kuwa mwenyeji wa wajumbe kutoka Afrika na…

Makamu wa Rais wa Gambia awasili Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Gambia, Mhe. Muhammad Jallow amewasili jijini Dar es Salaam ambapo anamwakilisha Mheshimiwa Rais Adama Barrow katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaotarajiwa kuanza leo, Januari 27 na 28 2025 katika…

Naibu Waziri Mkuu wa Eswatini awasili nchini

Naibu Waziri Mkuu wa Ufalme wa Eswatini, Mheshimiwa Thulisile Dladla, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025. Katika Uwanja…

Dk Biteko afungua Mkutano wa Nishati wa Viongozi Afrika

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, .Dkt. Doto Biteko amefungua mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya Kimataifa; Viongozi wa Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika na taasisi ya Rockefeller (M300) inayofanyika…

Sheikh Alhadi Mussa azindua Wanawake Laki moja Cup Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Temeke JUMUIYA ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Sheikh Dkt. Alhadi Mussa Salum ameipongeza Taasisi binafsi ya Wanawake Laki Moja kwa kudhamini Tamasha Ligi ya Wanawake yenye kauli mbiu: ‘Cheza kama…