JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Noti mpya za fedha kuanza kutumika Februari 1,2025

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka…

Benki Kuu yanunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa nchini – Waziri Mavinde

📍 Dodoma Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imenunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa na kusafishwa hapa nchini ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na changamoto ya upungufu wa fedha za kigeni,…

Watakia kuchukua vitambulisho vyao NIDA

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imetoa wito kwa wananchi kuchukua vitambulisho vyao baada ya kupokea ujumbe mfupi wa simu. Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, amesema mamlaka  imefanya maboresho makubwa katika mchakato…

Rais Samia, Dk. Nchimbi njia nyeupe Ikulu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dodoma Haijapata kutokea. Haya ni maneno aliyopenda kuyatumia aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Magharibi (CCM), Theodos James Kasapira. Nikiri nilipopewa mwaliko wa kuja hapa Dodoma kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM, niliifahamu ajenda moja ya msingi ya…