Author: Jamhuri
Wananchi wanayo matumaini makubwa na REA – Mhandisi Saidy
Awataka watumishi kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na maarifa Morogoro📍 Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi, Hassan Saidy amesema Wananchi hususan wanaoishi vijijini wana matumaini na Serikali kupitia REA katika kuwaboreshea hali ya maisha na amewataka Watumishi…
Rais Samia kumuasili mtoto aliyetelekezwa kunavyodhihirisha upendo wake kwa jamii
Na Dkt. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Tanga Watoto wana haki zao za msingi. Wanapaswa kupendwa, kulindwa, kusikiliza, kupewa malezi na matunzo. Pia, watoto wanapaswa kupewa mahitaji yote ya msingi yaani chakula, mavazi na malazi. Kimsingi, ni wajibu wa msingi kwa wazazi…
Papa Leo ahuzunishwa na mauaji ya watoto Iran
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV (14 ) amesikitishwa na vifo vya raia wengi katika vita vya Iran. Vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran vimeingia siku yake ya 12. Papa pia ameelezea kuwa karibu na watu…
Tanzania, Uganda zaainisha maeneo manne ya ushirikiano wa kimkakati
TANZANIA na Uganda zimekutana kupitia maeneo ya ushirikiano wa maendeleo ya pamoja ya kiuchumi na kijamii kati ya nchi hizo mbili rafiki, katika Mkutano wa Tano (5) wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) Machi 11, 2026 Hatua hiyo imekuja…
Msajili wa Hazina na Arise Investments kuimarisha uwekezaji NMB
Na Mwandishi wa OMH, Dar es Salaam Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, leo Machi 11, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Gavin Tipper, Afisa Mtendaji Mkuu wa Arise Investments, pamoja na ujumbe wake katika ofisi yake jijini Dar es Salaam,…
Mradi wa Lupali mbioni kukamilika, kuingiza umeme gridi ya Taifa kilowati 317
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Njombe Ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Lupali unaotumia nguvu ya maporomoko madogo ya maji ya mto Lupali umefikia asilimia 99 ambao ukikamilika utaingizwa kwenye gridi ya taifa kilowati 317 na kuchangia upatikanaji umeme wa…





