Author: Jamhuri
Tanzania yashiriki mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri nchi zinazozalisha almasi
Freetown- Sierra Leone Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa Aprili 8, 2025 ulishiriki Jukwaa Maalum la Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri wa Nchi zinazozalisha Madini ya Almasi Barani Afrika (The African Diamond…
Makamu wa Rais afanya mazugumzo na Balozi Matinyi, Balozi Hamad
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasihi Mabalozi kuwaunganisha Watanzania wanaoishi katika nchi wanazowakilisha (Diaspora) ili waweze kuchangia maendeleo ya Taifa kupitia uwekezaji mbalimbali. Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipokutana na kufanya…
Tanzania, Uingereza zajadili mpango wa kuongeza thamani madini muhimu mkakati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Tanzania na Uingereza Aprili 8, 2025 zilikutana na kujadili kwa pamoja Taarifa ya Uchambuzi wa Kina iliyoonesha fursa za kuongeza thamani madini za muda Mfupi na wa Kati wa Madini Muhimu na Mkakati…
EACOP yakabidhi cheti cha haki ya kimila ya umiliki wa ardhi kwa jamii ya Akie
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kiteto Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekabidhi cheti cha haki ya kimila ya umiliki ya ardhi ya kimila ya umiliki wa ardhi yam situ mtakatifu kwa jamii ya Akie iliyopo Kiteto…
Ushuru wa Trump unaojumuisha asilimia 104 dhidi ya China waanza kutekelezwa
Rais wa Marekani Donald Trump amesifu hatua yake ya kuziongezea ushuru bidhaa za nchi nyingi duniani zinazoingizwa Marekani akisema ni muhimu kwa maono yake kwa ajili ya Marekani. Kauli yake inakuja wakati akiiongezea maradufu ushuru China wa hadi asilimia 104….



