JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Chande azindua misheni ya uangalizi wa Uchaguzi ya SEOM jijini Port – Louis

Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya SADC (SEOM) katika Uchaguzi Mkuu wa Mauritius Jaji Mkuu (Mstaafu) Mohammed Chande Othman, amezinduamisheni hiyo jijini Port-Louis, Mauritius, kwa niaba ya Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC na…

Marekani imefuta deni dola bilioni 1 Somalia

Serikali ya Marekani imeamua kufuta deni la zaidi ya dola bilioni 1 ambazo zinadaiwa kwa serikali ya Somalia. Makubaliano ya kufuta deni hilo yalisainiwa kati ya Waziri wa Fedha wa Somalia Bihi Egeh na Balozi wa Marekani nchini Somalia Richard…

Msuva arudishwa Stars

Na Isri Mohamed Mchezaji Simon Msuva amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kesho Novemba 07, kujiandaa na mechi mbili za mwisho za kufuzu AFCON dhidi ya Guinea na Ethiopia. Msuva alizua taharuki baada ya jina…

Trup ajitangaza mwenyewe kuwa mshindi kiti cha urais Marekani

Wakati zoezi la kupiga kura za Urais nchini Marekani, Mgombea Donald Trump wa chama cha Republican amejitangaza mwenyewe kama mshindi, kufuatia matokeo yanayoonesha kuwa kuwa yuko mbele kumzidi mpinzani wake Kamala Harris. Trump ametangaza kushinda tena Urais wa Taifa hilo…

Uraia pacha ni hatari kwa usalama wa taifa letu

Na John Haule, JamhuriMedia, Arusha Wengi tuliofika elimu ya sekondari tumejifunza kwa kiasi maana ya uraia na dhana ya uraia pacha( dual citizenship) na katika nchi yetu Tanzania uraia wa Tanzania unasimamiwa na sheria ya mwaka 1995 sura namba 357…

Uwekezaji mkubwa sekta ya madini ulivyochagia mapato kuongezeka

• Ajira zamwagwa kwa Watanzania, Minada ya Madini kurejeshwa, Mauzo yapaa Na Vicky Kimaro- Tume ya Madini “Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Madini, tumenunua mitambo mikubwa, mitano imeshafika nchini, kumi ipo njiani inakuja, mitambo hii itawarahisishia wachimbaji wadogo…