JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Shambulio la droni la Urusi laua tisa mashariki mwa Ukraine

Shambulizi la droni la Urusi lililolenga jumba la makazi katika mji wa Sumy, mashariki mwa Ukraine, limesababisha vifo vya watu tisa. Rais Volodymyr Zelensky amelielezea shambulizi hilo kama janga kubwa la uhalifu wa Urusi, akisisitiza umuhimu wa dunia kuongeza shinikizo…

Ebola yathibitishwa Uganda, muuguzi afariki Kampala

Muunguzi mwenye umri wa miaka 32 alifariki katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, kutokana na ugonjwa wa Ebola, Wizara ya Afya ya nchi hiyo ilithibitisha siku ya Alhamisi Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha Alhamisi mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya…

Kiongozi wa M23 : Hatuondoki Goma, tunaitaka Kinshasa

Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza kuhusu azma ya kusonga mbele hadi mji mkuu Kinshasa. Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi. Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda ambao…

Kisanduku cheusi cha ndege iliyoanguka Washington DC chapatikana

Maafisa wamepata kifaa cha kurekodi data na kinasa sauti cha ndege, kinachojulikana kama kisanduku cheusi, kutoka kwa ndege ya American Airlines, chanzo kilithibitishwa na mshirika wa BBC wa Marekani CBS News. Kisanduku cheusi kinaweza kusaidia kutoa vidokezo kuhusu kile ambacho…

Biashara saa 24 kuanza Februari 22

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema uzinduzi rasmi wa biashara kwa saa 24 utafanyika Februari 22, 2025 na utaanzia eneo la Ofisini za Mkuu wa Mkoa hadi Kariakoo kuwa…