Author: Jamhuri
Jaji akataa hoja ya Trump ya kutaka atupilie mbali kesi aliyopatikana na hatia
Jaji wa mahakama ya New York ameamua kuwa hatia aliyopatikana nayo Donald Trump katika kesi ya kutoa pesa za kutunza siri ni halali, amekataa hoja ya rais mteule kwamba hatia hiyo inapaswa kutupiliwa mbali kutokana na uamuzi wa Mahakama ya…
Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi
Vyanzo vya BBC katika Idara za Usalama za Ukraine vinadai kuwa Ukraine ndio imehusika na operesheni ya kumuua Igor Kirillov mjini Moscow. Kulingana na chanzo hicho, pikipiki iliyokuwa na vilipuzi ililipuliwa wakati Kirillov na msaidizi wake wakikaribia jengo moja huko…
RITA yamaliza mgogoro wa msikiti wa Ijumaa Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhani nchini (RITA), umeitaka Bodi mpya ya Wadhamini wa Msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza, kujiepusha na ubadhirifu wa mali za msikiti sambamba na kuimarisha mshikamano wa waumini, pamoja na kutolipiza…
Rais Samia tusaidie kukataa dizeli SGR, hongera Dk. Biteko TANESCO
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo katika makala hii, naomba, narudia, naomba sana niandike juu ya mambo mawili. Mambo haya ni treni yetu ya mwendokasi (SGR) na uzinduzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa KV400 kutoka…
Lissu achukua fomu kugombea uenyekiti CHADEMA
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo Desemba 17, 2024 amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Baada…
Watuhumiwa 126 wa ukabakaji, ulawiti na usafirishaji dawa ya kulevya wakamatwa
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema hali ya Ulinzi na usalama kwa kipindi cha kuanzia mwezi Octoba, 2024 hadi sasa ni shwari huku likibaiinisha kuwa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa ubakaji na usafirishaji…