JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ubalozi wa India nchini waadhimisha miaka 76 ya Jamhuri kwa Taifa la India

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati ambao Tanzania ipo katika wakati wa kuwa nchi mwenyeji wa mkutano mkuu wa Nishati Afrika ulioanza leo hii jijini Dar es Salaam , Ubalozi wa India nchini umeadhimisha sherehe za 76 za…

Rais Dk Samia ameridhia Mji Kibaha kuupandisha hadhi kuwa Manispaa – Mchengerwa

Na Mwamvua Mwinyi, JahuriMedia, Pwani Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ameweka wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Halmashauri ya Mji wa Kibaha kupandishwa hadhi na kuwa Manispaa. Mchengerwa ameeleza kuwa taratibu za mwisho zinafanywa, na…

Wizara ya Katiba na Sheria yatoa mafunzo ya uraia, utawala bora Mtwara

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mtwara Ikiwa ni Wiki ya Sheria nchini, Wizara ya Katiba na Sheria imetoa Mafunzo ya Elimu ya Uraia na utawala Bora kwa viongozi na Watendaji wa Kata kwenye Halmashauri ya Mtwara vijijini na Mikindani. Akizungumza wakati akifungua mafunzo…