Author: Jamhuri
Leseni za madini zaidi ya 50,000 zatolewa
●Maeneo zaidi ya wachimbaji wadogo kutengwa TUME ya Madini imetoa jumla ya leseni za uchimbaji madini 54,626 katika kipindi cha miaka saba. Kaimu Mkurugenzi wa Leseni na Tehama Mhandisi Aziza Swedi amesema katika kipindi cha kuanzia 2018/2019 hadi Septemba 30,…
Mashirika ya ndege yasitisha safari za Haiti baada ya ndege kupigwa risasi
Mashirika kadhaa ya ndege yamesitisha safari za kuelekea Haiti baada ya ndege ya abiria kutoka Marekani kupigwa risasi ilipokuwa ikijaribu kutua Port-au-Prince. Ndege ya Spirit Airlines 951 kutoka Fort Lauderdale huko Florida ilielekezwa katika nchi jirani ya Jamhuri ya Dominika,…
Mwandishi wa habari katika jela ya Eritrea kwa miaka 23 ashinda tuzo ya haki za binadamu
Mwandishi wa habari aliyefungwa katika jela ya Eritrea kwa miaka 23 bila kushtakiwa ameshinda tuzo ya haki za binadamu ya Sweden kwa kujitolea kwake kwa uhuru wa kujieleza. Dawit Isaak, ambaye ana uraia wa Eritrea na Sweden, alipewa Tuzo ya…
CCM: Tunawaomba wagombea wetu waliokatwa kuwa wavumilivu
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani chama kinaamini haki itatendeka kwa vyama vyote. CPA Makalla aliyasema hayo…
Machafuko ya kisiasa yaripotiwa kuelekea uchaguzi wa wabunge Senegal
Nchini Senegal, kuelekea uchaguzi wa wabunge siku ya Jumapili, muungano wa mashirika 46 ya kiraia unaonya kuwepo kwa ongezeko la machafuko ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni.. Mashirika ya kiraia yanayofuatilia mwenendo wa kampeni hizo katika maeneo mbalimbali ya…
Moalin aikimbia KMC
Na Isri Mohamed Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC, Abdihamid Moalin Amewaaga rasmi wachezaji wake baada ya mazoezi ya jana na kuwaweka wazi kuwa hatakuwa sehemu ya walimu wao tena. Moalin ambaye ameifundisha KMC kwa misimu miwili kwa mafanikio makubwa,…