JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti atua Dar

ยท Ashirikiana na wataalamu wazawa upasuaji Mloganzila Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MTAALAMU bingwa wa ubadilishaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali kubwa nchini India ya Yashoda, Dk. Ram Mohan Reddy amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya…

Waziri Mavunde aitaka sekta ya binafsi kujiandaa na mapinduzi makubwa ya sekta ya madini

-Rais Samia aelekeza juu ya ushiriki wa idadi kubwa ya Watanzania kwenye sekta ya Madini -Viwanda vya ndani kuzalisha bidhaa za migodini -Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha uzalishaji bidhaa migodini Afrika -Waziri Mavunde ataka Watanzania kuchangamkia Trilioni 3.1 za manunuzi…

DCEA yateketeza ekari 1,165 za mashamba ya bangi Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga,…

Shule ya sekondari Hasnuu Makame yaitikia agizo la matumizi ya nishati safi ya kupikia

๐Ÿ“Œ Mwalimu Mkuu aeleza namna Nishati Safi ya Kupikia ilivyookoa nusu ya gharama ๐Ÿ“Œ Aeleza athari zilizopatikana wakati wakitumka nishati isiyo safi Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo…

Watakaofiwa na wazazi shule ya Brilliant kuendelea na masomo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikzia, ametangaza kwamba kwenye mtandao wa shule za St Anne Marie Academy unaominilikia pia shule ya Brilliant ya Kimara Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam,…

Hezbolllah yasema ilirusha makombora zaidi ya 320

Kundi la Hezbollah limesema kwamba limerusha makombora zaidi ya 320 kuelekea Israel alfajiri ya Jumapili. Katika taarifa iliyotolewa mapema Asubuhi, kundi hilo lilisema kwamba lililenga maeneo kumi na moja ya kijeshi kaskazini mwa Israel kwa kutumia maroketi za aina ya…