Author: Jamhuri
Rais Samia akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye Kilele cha Maadhimisho Mbio za Mwenge Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo Godfrey Eliakim Mzava kwenye Kilele cha Maadhimisho Mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini…
Polisi wa fafanuzi Taarifa inayosambaa kuhusiana risiti za vifo
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi,Arusha Jeshi la Polisi Mkoa Arusha limesema kuwa katika baadhi ya vyombo vya habari kumekuwa na taarifa inayosambaa ikisema kwenye nyumba ambayo ulikutwa mwili wa mtoto Mariam Juma aliyeuawa tarehe 12.10.2024 huko kwa Mrombo kumekutwa…
Halmashauri Misenyi Kagera yatoa mil.1/- ya matibabu ya mtoto mwenye uvimbe
Na Egbart Rwegasira, JamhuriMedia, Misenyi Halmashauri ya Wilaya Misseny mkoani Kagera Kupitia kwa mkurugenzi mtendaji wa Wilaya hiyo John Paul Wanga imetoa kiasi cha shilingi milioni moja ili kusaidia Matibabu ya Betson Mjuni Bernard (03). Mtoto huyo Mwenye umri wa…
JKCI yaanza kutibu wagonjwa wa moyo Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha TAASISI ya Moyo ya (JKCI), imeanza kambi ya siku nne ya kupima na kutibu maradhi ya moyo kuanzia kesho kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI,…
Korea kaskazini iko tayari kuishambulia Korea Kusini
Korea Kaskazini imesema Jumapili kuwa vikosi vyake vya kijeshi viko tayari kuanzisha mashambulizi dhidi ya Korea Kusini, hatua ambayo imeongeza shinikizo kwa taifa hilo pinzani. Korea Kusini imekataa kuthibitisha iwapo ilituma droni hizo lakini ikaonya kuwa itaiadhibu vikali Korea Kaskazini…