Author: Jamhuri
Tumekuja kusikiliza Ilani ya CCM hapa Bukombe – Geita
Makundi mbalimbali ya Wananchi wakiwa tayari kusikiliza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2025-2030 kupitia Wagombea Ubunge na Udiwani Mkoa wa Geita ikiwa leo ni siku ya uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani Geita kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Watu 1,000 wafariki katika maporomoko ya ardhi Sudan
Katika tukio la kusikitisha lililotokea magharibi mwa Sudan, takriban watu 1,000 wamefariki dunia kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la milima ya Marra huku mtu mmoja pekee akinusurika. Takriban watu 1,000 wamefariki kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika eneo la…
NIRC yaanza kuchimba visima 52 Tabora, wakulima sasa kujikita kilimo cha umwagiliaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nzega Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeanza uchimbaji wa visima 52 katika halmashauri nane za Mkoa wa Tabora ili kuwezesha wakulima wa maeneo hayo kuacha kulima kilimo cha mazoea ya kugemea msimu wa mvua…
Wizara ya Ardhi yapata tuzo kushriki kikamilifu mkutano wa TRAMPA 2025
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepata tuzo kwa kuwa miongoni mwa Wizara zilizotoa washiriki wengi kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Menejiment ya Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA). Wizara ya Ardhi ilitoa watumishi 56 kushiriki mkutano huo wa…
Msajili Hazina aipa tano TPA
Na Mwandishi wa OMH, Tanga Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) hususan Bandari ya Tanga kwa ufanisi mzuri wa kukusanya mapato makubwa ikiwa ni matokeo ya kukamilika kwa mradi wa maboresho katika…