JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Majaliwa: Ubora wa miradi uwiane na thamani ya fedha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wa miradi inayotekelezwa na Serikali ikiwemo ya elimu kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaolingana na thamani ya fedha iliyotolewa. Ametoa wito huo leo wakati wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari…

Tembo amuua mtalii aliyekuwa akimwogesha Thailand

Tembo amemuua mwanamke mmoja raia wa Uhispania alipokuwa akimwogesha mnyama huyo katika kituo cha tembo nchini Thailand, wamesema polisi wa eneo hilo. Blanca Ojanguren GarcĂ­a, 22, alikuwa akiosha tembo katika Kituo cha Kutunzia Tembo cha Koh Yao, siku ya Ijumaa…

Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu

Kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa chama chake, Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ametangaza kujiuzulu na kumaliza kipindi chake cha miaka tisa ya uongozi. Trudeau amesema atakaa madarakani hadi Chama chake cha Liberal kiweze kuchagua kiongozi mpya, na bunge litaahirishwa…

Mawakili Tabora walaani kuzuiwa kutekeleza kazi zao

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAWAKILI wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoani Tabora wamelaani vikali kitendo cha kuzuiwa kutekeleza majukumu yake mmoja wa wanachama wake alipokuwa akifuatilia masuala ya wateja wake waliokamatwa. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana…

Wanafunzi 86 St Anne Marie Academy wachaguliwa shule za vipaji maalum

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WANAFUNZI 86 kati ya 156 wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam waliohitimu darasa la saba wamechaguliwa kujiunga na shule za vipaji maalum. Mkuu wa shule hiyo,…