JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Mwinyi : SMZ kuleta mageuzi katika sekta ya elimu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea na mikakati ya kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya elimu kwa lengo la kuipeleka nchi katika uchumi wa kati na wa juu. Rais Dk….

Naibu Kadhi Mkuu ampongeza Shiraz kwa kujenga Msikiti Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Kadhi Mkuu, Ali Khamis Ali amempongeza mfanyabiashara Shiraz Rashid kwa kujitolea kujenga Msikiti wa Imam Ali Bin Abu Talib eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam. Alitoa pongezi hizo mwishoni mwa wiki…

Dk Biteko akutana na ujumbe wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Septemba 23, 2024 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kikao na Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha…

Rais Samia awataka Watanzania kudumisha mila na desturi na si kuiga tamaduni zingine

Na Cresensia Kapinga, JanhutiMedia, Songea RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan,amewataka Watanzania kuendelea kudumisha mila na Desturi za Kitanzania,badala ya kuiga utamaduni wa Mataifa ya nje yanayochangia mmonyoko wa maadili kwa vijana hapa nchini. Rais…