JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TASSIM yaandaa maonyesho ya viwanda vidogo Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imewaalika wananchi na wadau mbalimbali kuhudhuria mkutano wa kukusanya maoni kuhusu Sera mpya ya biashara ndogo ndogo (SMEs) utakaofanyika mkoani Dodoma . Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya…

Tanzania ya sita duniani kwa ongezeko la watalii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHINI ya uongozi wa maono wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania inashuhudia ongezeko kubwa la watalii wa kimataifa, jambo ambalo limeongeza kwa kiasi kikubwa uchumi wa taifa. Kulingana na Barometer ya Utalii…

Benki ya Akiba yazindua kampeni ‘Tupo Mtaani kwako’

Na Mwandishi wetu–Jamuhuri media Dar es salaam Taasisi za kifedha hazina budi kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi kwa kuwasogezea karibu ili kusaidia kupunguza adha ya kutumia muda mwingi kufuata huduma umbali mrefu na kuchelewa kufanya shughuli zao…

Vijana shikamaneni kulinda amani ya nchi yetu – Dk Biteko

📌 Asema Amani ya Tanzania na Dunia ipo Mikononi mwa Vijana 📌 Asema Teknolojia Isitumike kama Jukwaa la Uhalifu 📌 Serikali Yaendelea Kushirikisha Vijana katika Masuala ya Maendeleo 📌 Asisitiza kuwa Kijana Bora Hujenga Taifa Bora la Kesho Na Ofisi…

Waziri Ndumbaro awataka wazazi kukemea mmomonyoko wa maadili

Na Cresensia Kapinga, Jamuhuri, Songea. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro amewataka Watanzania kutunza na kuendeleza urithi wa tamaduni zetu ambapo amewataka wazazi kukemea mmomonyoko wa maadili kwenye jamii na kufuata mila na desturi za kitanzania Agizo hilo…

Tamasha la utamaduni kitaifa lafunguliwa Songea

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaasa watanzania kuzingatia miiko, mila na desturi za kitanzania na kuwarithisha watoto na vijana ili kujiepusha na tamaduni za kigeni zisizofaa kwa jamii. Aidha, ameitaka Mamlaka…