JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mhagama afurahishwa na MSD inavyookoa maisha ya watoto njiti

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya Jenista Mhagama ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa kuendelea kuhakikisha inanunua vifaa muhimu vinavyohitajika kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa wakiwa njiti. Waziri Mhagama amesema hayo leo wakati akikabidhi vifaa…

Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19…

Waziri Mkuu amwakilisha Rais Samia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam  Septemba 19, 2024, kabla ya kuondoka…

Vituo vya zana za kilimo kujengwa nchi nzima, wanaowanyonya wakulima kukiona

Na Mwandishi Wetu, JajhuriMedia,Ruvuma Seeikali imetangaza kujenga vituo vya zana za kilimo nchi nzima na kuanza kugawa ruzuku ya mbegu za mahindi. Pia Waziri wa Kilimo Husein Bashe (mb) amesena atakula sahani moja na wafanyabiashara vishoka wanaonyonya wakulima. Hayo yameelezwa…

Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia

📌Kapinga asema lengo ni kuwafanya Watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ifikapo 2034. 📌Kwa mwaka huu wa fedha mitungi laki nne kutolewa. 📌Atoa rai kwa Watanzania kuendelea kuhamasishana matumizi ya nishati safi ya kupikia. Naibu Waziri Nishati, Judith…