JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Walimu, wadau wa wapata mafunzo matumizi fasaha ya lugha ya kiswahili

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Walimu wa Kiswahili na wadau hapa chini wametakiwa kuona umuhimu wa lugha ya kiswahili katika kuimarisha utamaduni na elimu jambo ambalo litachangia jamii kukuza lugha ya kiswahili, uzalendo na uelewa wa historia ya nchi yao…

Kapinga ashuhudia fainali Doto Cup 2024

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga Septemba 17, 2024 ameshuhudia fainali ya mashindano ya Doto Cup 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa. Mashindano hayo yameandaliwa na Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa…

Dk Biteko mgeni rasmi hafla ya uwekaji jiwe la msingi mradi wa kuzalisha umeme mto Malagarasi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto M. Biteko, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi wa megawati 49.5. Kwa mujibu wa…

Vikundi vya wajasiriamalia vyanufaika na mitaji wezeshi ya CRDB mil. 101.6/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ludewa • Waziri Chana afungua mafunzo kuwawezesha kukuza mitaji Vikundi nane vya Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa vimenufaika na mtaji wezeshi kutoka Benki ya CRDB kiasi cha shilingi milioni 101.6 kwa ajili ya kuimarisha…