JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Marekani yasusia mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini

Mkutano wa mawaziri wa masuala ya kigeni wa nchi tajiri duniani (G20) umeanza leo huko Afrika kusini. Hata hivyo, Marekani kupitia Waziri wake wa masuala ya kigeni wa Marekani Marco Rubio haitohudhuria mkutano huo. Marco Rubio alitangaza kutohudhuria kupitia kwenye…

Operesheni ya kuwadhibiti fisi Simiyu yaonesha mafanikio makubwa

📍 Zaidi ya Fisi 16 wavunwa. Na Mwandishi Wetu, Jamuhuri Media , Simiyu Oparesheni maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara Kwa jamii inayoendelea Mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa baada ya fisi…

TAKUKURU kuna rushwa kwa waamuzi

Na Andrew Peter, JamhuriMedia, Dar es Salaam Madai na shutuma za waamuzi kuhongwa ni moja ya mambo ya kawaida kuyasikia kila siku katika Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini hadi sasa Takukuru haijafanya lolote kuwakamata wahusika. Waamuzi wanalaumiwa kwa kufanya upendeleo…

Ujangili: Asiyoambiwa Rais Samia

Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mambo makubwa yanayohusu hatima ya taifa letu hayana budi yasemwe hata kama kufanya hivyo kutaleta gharama kwa wanaoyasema. Huu ni wajibu wa kikatiba, kwa kuwa wananchi wa Tanzania, kama ilivyoainishwa katika Katiba ya…

Zebaki yawatesa, wanawake, watoto

Na Anthony Mayunga, JamhuriMedia, Mara Baadhi ya wanawake na watoto wanaojihusisha na uchimbaji na uchenjuaji wa dhahabu kwa kutumia zebaki hapa nchini ni waathirika wakubwa wa kemikali hiyo. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zebaki inapoingia mwilini inaharibu…

Rais Samia utakumbukwa kwa Bwawa la Kidunda

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, aliyekuwa Kidunda Wiki moja iliyopita, nimepata fursa ya kutembelea ujenzi wa Bwawa la Kidunda, lililopo mkoani Morogoro. Ujenzi wa Bawawa hili umeanza rasmi mwaka 2023 na unatarajia kukamilika mwaka 2026 kwa gharama ya zaidi ya Sh…