Author: Jamhuri
Naibu Waziri Kapinga ashiriki Jukwaa la Mawaziri nchini Afrika Kusini
📌 Lengo ni kutangaza fursa za uwekezaji kwenye Mafuta, Gesi Asilia na Nishati Mbadala Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium) nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil…
Dk Tulia, Rais wa Hungary wajadili hali ya amani duniani
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 8 Oktoba, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Hungary, Tamas Sulyok katika Ikulu ya nchi…
Watu 10 wafariki dunia baada ya mgodi kuporomoka Zambia
Takriban watu 10 wamekufa na idadi ya wengine isiyojulikana hawajulikani walipo baada ya mgodi kuporomoka katikati mwa Zambia. Mamlaka nchini Zambia imesema shughuli ya uokoaji inaendelea japo haijabainika idadi kamili ya wachimbaji madini waliofukiwa chini ya ardhi. Mgodi huo uliporomoka…
Taye Selessie achaguliwa kuwa Rais mpya Ethiopia
Mabunge mawili ya Bunge la Ethiopia yamemchagua Taye Atske Selassie, Mwanadiplomasia kuwa Rais wa nchi hiyo. Taye Atske Selassie ameapishwa Oktoba 07, 2024 na kukabidhiwa katiba na Rais wa nchi anayemaliza muda wake. Taye anachukua mikoba ya Rais wa kwanza…
Tanzania ina mkakati madhubuti utakaofanikisha matumizi ya nishati safi ya kupikia – Balozi Chana
📌Atoa wito kwa Watanzania kuyaishi maono ya Rais Samia Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeandaa mkakati madhubuti wa Nishati Safi ya Kupikia wenye lengo kuwaondoa watanzania katika adha itokanayo na matumizi ya nishati isiyo…
Ofisi ya Msajili wa Hazina yapongezwa kwa mafunzo ya watendaji wa taasisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Mipango na Uwekezaji imeipongeza Ofisi ya Msajili wa Hazina na Taasisi ya Uongozi kwa kuandaa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watendaji wakuu wapya wa taasisi za umma, yenye…





