Author: Jamhuri
Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi
Na Mwandishi Maalum Mwanariadha wa Jeshi la Polisi Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa…
Ummy Mwalimu azindua ligi ya Wilaya ya Tanga
Na Mwandishi Wetu, Tanga Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ummy Ally Mwalimu amezindua rasmi Ligi ya Mpira wa Miguu Wilaya ya Tanga ambayo inasimamiwa na Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya…
Rais Samia awapa stars milioni 700
Na Isri Mohamed Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwapa zawadi ya Tsh. milioni 700 Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 ambayo michezo yake itachezwa nchini Morocco. Taarifa ya Rais Samia kutoa fedha hizo imetolewa na Waziri mwenye dhamana ya…
Makonda ataka mahubiri ya amani
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini kuhubiri amani na utulivu ikiwemo wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu tunapoelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotaraji kufanyika Novemba 27 mwaka huu nchi mzima. Aidha amewaomba viongozi wa…
Tanzania yanufaika na miradi ya mazingira
Tanzania inatarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 13 kwa ajili ya kuongeza wigo wa utekelezaji wa miradi ya kijamii kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Halmashauri 15 zaidi kupitia Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Mitaji na Maendeleo (UNCDF). Hayo yamebainika…
Tuzingatie viwango katika biashara zetu kukuza soko zaidoli – Dk Jafo
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Selemani Jafo (Mb) ametoa rai kwa Wazalishaji wa bidhaa Nchini kuweka kipaumbele suala la ubora wa bidhaa kwani ndio ajenda muhimu kwa kutengeneza uchumi wa nchi. Ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Ubora…





