JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

EIB kuongeza ufadhili kwa miradi ya maendeleo nchini Tanzania

·      Yatangaza ufadhili mpya kwa miradi mitano nchini.  Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank – EIB) imeahidi kuongeza ufadhili na mikopo ya masharti nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano baina…

Waombwa kuchukua vitambulisho vyao NIDA

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Dar es Salaam Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho nchini (NIDA) James Kaji amewataka Waandishi wa Habari ,kusaidia kutoa elimu kwa jamii kwenda kuchukua vitambulisho vyao kwa wale ambao wamepata ujumbe kutoka NIDA. Kaji ametoa wito…

Wizara ya Habari yajivunia kuimarisha upatikanaji habari na kueneza taarifa sahihi kwa wananchi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi, amesema Serikali kupitia Wizara yake imefanikiwa kuimarisha upatikanaji wa habari na kueneza taarifa sahihi kwa wananchi kupitia mikakati mbalimbali iliyotekelezwa ndani ya miaka minne ya Serikali ya Awamu…

Mwarobaini uvuvi haramu huu hapa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Ni zama za sayansi na teknoojia. Ndio, teknolojia inapaswa kutumika katika kila eneo ilimradi tu kuleta ufanisi na kuboresha amaisha. Ni ukweli huu ndio umeifanya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kwa mara ya kwanza nchini,…

Chana aanika mikakati ya uhifadhi kwa wananchi wa Wanging’ombe katika kukabiliana na changamoto ya wanyamapori

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Wanging’ombe Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefungua rasmi semina ya kuwajengea uwezo wadau wa uhifadhi kuhusu mikakati ya kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu ikiwa ni pamoja na…

Awamu ya pili uboreshaji, uwekaji wazi wa dafatri la wapiga kura kuanza mei

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 na kukamilika tarehe 04 Julai,…