Author: Jamhuri
Mgombea ubunge Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya AAFP aipongeza INEC
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Wakulima (AAFP), Mark Isdory Mhemela ameipongeza Tume Huru ya Uchaguzi(INEC) kwa kusimamia vizuri zoezi la uteuzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Urais,Ubunge na Udiwani. Akizungumza kwa njia…
Gari, pikipiki, dhahabu, simu janja zaongeza msisimko katika mnada wa Piku
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUKWAA la kidigitali la PIKU linalojulikana kwa kuendesha minada ya kipekee na yenye ushindani wa hali ya juu, limetangaza kuja na bidhaa mpya na za kuvutia zitakazoshindaniwa na washiriki wake wote. Kwa mara…
Dk Nchimbi atua Mwanza kuomba kura kuelekea uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi Wetu,Mwanza Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi amewasili Mkoa wa Mwanza Leo Agosti 29, 2025 kwa ajili ya Kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Balozi…
TAKUKURU Lindi yajiimarisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu thamani ya kura
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imetoa taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu yake kupitia programu ya TAKUKURU Rafiki, ikibainisha kuwa imefanikiwa kutatua kero mbalimbali zilizowasilishwa na wananchi, hususan kwenye sekta za elimu, afya, maji, nishati…
‘Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea urais CCM haukufuata wanajitoa ufahamu’
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amejitokeza hadharani kuwajibu wanaodai kuwa utaratibu wa kumpata Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 haukufuata taratibu, akiwataka…
Othman : Viongozi wa dini wana haki haki ya kuangalia haki, amani na utulivu
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ni wajibu kwa viongozi wa dini kuangalia haki, utulivu na amani ya kweli, wanayoihitaji Wananchi wote, kwaajili ya Maendeleo ya Taifa zima. Amesema, viongozi hao ndio wenye dhima ya kuhakikisha…