JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

REA kushiriki Samia Kilimo biashara Expo 2024 Morogoro

📌Ajenda ya Nishati ya Kupikia imepewa kipaumbele Wakala wa Nishati Vijijini (REA) itashiriki katika Maonesho ya Samia KILIMO Biashara Expo 2024 kwa msimu wa tatu yanayotarajiwa kuanza tarehe 6 Oktoba, 2024 wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro. Akizungumza katika kikao hicho,…

Kuhifadhi mbegu za uzazi Sh milioni moja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KITUO cha kupandikiza mimba cha Dk Samia Suluhu Hassan katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam kimesema mtu anayehitaji kupata mtoto anaweza kuhifadhi mbegu za uzazi kwa gharama ya Sh milioni…

Rais Samia azindua Kitabu cha Sokoine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Familia ya hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya kuzindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere…

Bashe atuma salamu kwa wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima wa korosho Mtwara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema hata sita kuendelea kuwafutia leseni wafanyabiashara wakubwa na wadogo wanaotumika na waleta janja janja katika ununuzi wa korosho na kunyonya wakulima. Amesema hatua ya Serikali kuwapa kipaumbele wafanyabiashara wa…

Mtoto Mtanzania ashinda tuzo ya Ballon D’or

Na Isri Mohamed Mtoto Mtanzania Barka Seif ameandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Ballon D’or of the Champions Dream nchini Hispania. Barka anayekipiga kwenye Academy ya vijana ya CF Damm, ameshinda tuzo…