JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

RITA: Zaidi ya asilimia 99.75 ya vyeti vimehakikiwa

Na wandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KABIDHI Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini nchini (RITA), Frank Kanyusi amewataka wananchi na waombaji wote wa mikopo ya elimu ya juu kutosubiri dirisha la mikopo…

Sakata la Yusuph Kagoma lafika pabaya

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam UONGOZI wa klabu ya Yanga umetoa maombi matatu kwa kamati ya TFF ya maadili na hadhi ya wachezaji kufuatia sakata la mchezaji wao Yusuph Kagoma ambaye anaendelea kucheza klabu ya Simba kinyume na…

CHADEMA kuandamana Septemba 23

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeeman Mbowe amewataka viongozi wa CHADEMA wa mikoa yote nchini kujipanga kuja Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki maandamano yanayotarajia kufanya Septemba 23,…

Serikali yavuna Trilioni 1.8 kupitia sekta ya uziduaji nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni 402.41 kwa…

DC Nyasa : Usimamizi mbovu umechangia Halmashauri Nyasa kushindwa kufikia malengo

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Nyasa MKUU wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Peres Magiri amesema kuwa ,usimamizi mbovu wa vyanzo vya mapato kutoka kwa baadhi ya wataalam na watendaji wa vijiji na kata umesababisha Halmashauri hiyo kushindwa kufikia malengo ya…

TMA yasisitiza umuhimu matumizi ya huduma za hali ya hewa kwa wadau wa ununuzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa elimu kwa wadau mbalilmbali wa Ununuzi kuhusu matumizi sahihi ya huduma za hali ya hewa pamoja na kuchangia gharama za upatikanaji wa huduma hizo katika utekelezaji wa…