Author: Jamhuri
Gari la shule lagongana na gari la JWTZ Mtwara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Watu 23 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Shule ya Msingi Salem baada ya kugongana na gari la Jeshi la Wananchi (JWTZ) katika eneo la Migomigo Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara. Ajali hiyo imetokea Novemba…
CPA Makalla alaani mauaji, watu kujeruhiwa uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Mwandishi Wetu KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) CPA Amoss Makallla amesema Chama hicho kinalaani matukio mbalimbali yaliyotokea yakiwemo ya mauaji na watu kujeruhiwa wakati wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa. Aidha amelitaka Jeshi…
CCM yataja sababu nne zilizofanya washinde kwa kishindo Serikali za Mitaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetoa sababu nne ambazo zimefanya Watanzania kuendelea kukiamini na kuchagua wagombea wa Chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na miongoni mwasababu ambazo zimefanya washindi ni uwepo wa migogoro…
Mamilioni ya dola kuhimili athari mabadiliko tabianchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imeahidiwa Dola za Marekani milioni 782.2, Euro milioni 26, na Dola za Canada milioni 2 kutoka kwa washirika wa maendeleo duniani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kuhimili athari za mabadiliko…
INEC yaonya wanaojiandikisha mara mbili daftari la wapiga kura
Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewatoa rai kwa wananchi kutojiandikisha zaidi ya mara moja katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakaloanza katika Desemba 11 -17 mwaka huu kwenye mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Dodoma . Aidha…
Mamlaka za usafirishaji majini barani Afrika zatakiwa kushirikiana kuboresha huduma
📌 Dkt. Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAMA 📌 Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo 📌 IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano kukabiliana na changamoto Bahraini 📌 Dar es Salaam yampongeza Rais Samia kuboresha Bandari, kupunguza…





