JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

300 wafariki katika mlipuko wa kipindupindu Sudan

Shirika la Afya Duniani WHO linasema zaidi ya watu 300 wamefariki katika mlipuko wa kipindupindu nchini Sudan Mlipuko huo unafuatia mvua kubwa na mafuriko yaliotatiza huduma za afya na kuzusha hatari ya magonjwa mengine ya kuambukiza kama dengue na homa…

Madaktari nchini India wafanya mgomo wa kitaifa baada ya mmoja wao kubakwa na kuuawa

Madaktari nchini India leo wameanza mgomo wa kitaifa na kuchochea maandamano zaidi baada ya ubakaji na mauaji ya kikatili ya mwenzao ambayo yamesababisha hasira iliyoangazia suala sugu la unyanyasaji dhidi ya wanawake. Wanafunzi wanaosemea udaktari nchini India wafanya mgomo Jumamosi…

WHO: Kufunga mipaka hakutazuia virusi vya mpox kusambaa

Msemaji wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO Tarik Jasarevic amesema kufunga mipaka hakutazuia kusambaa kwa virusi vya homa ya nyani. Ameiambia DW kwamba uzoefu unaonyesha kwamba kufunga mipaka hakutasaidia kuvizuia virusi, akiangazia hatua kama hiyo ilipochukuliwa wakati wa janga la…

Rais Samia na maraisi wengine wakiwasili kushiriki Mkutano wa 44 SADC Harare Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Mhe. Emerson Mnangagwa kushoto akiongozana na Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco wakielekea ukumbi wa mkutano kwa ajili ya kushiriki mkutano huo unaofanyika Harare Zimbabwe.  Kutoka kulia ni Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ciril Ramaphosa, Mfalme Mswati…

Amuua mwanamke kwa kumnyonga na kamba

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia,Tabora JESHI la Polisi Mkoani Tabora linamshikilia mtu mmoja (jina limehifadhiwa) kwa tuhuma za kumuua Juliana Mbogo (40) mkazi wa Mtaa wa Maselele kata ya Cheyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora. Kamanda wa Jeshi la Polisi…