JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Polepole, Mpina, Makamba… hawakumfahamu Rais Samia

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Mwanza Leo tumechapisha toleo maalumu. Toleo hili ni la watia nia waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Yapo majina makubwa yaliyoachwa kama Mbunge wa Bumbuli, January Makamba; Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina na wengine wengi. Lakini…

Wapigakura mchague maendeleo, si rushwa

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Mwanza Jana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanzisha rasmi mchakato wa uchaguzi katika ngazi ya wabunge na madiwani kwa kuteua majina ya wanachama wake watakaopiga goti mbele ya wajumbe kuomba kura. Mchujo utakaofanyika wiki ijayo unalenga kupata…

Wagombea mtegemeeni Mungu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Arusha Wiki iliyokwisha nimeitumia kusikiliza upepo wa siasa unavyokwenda hapa nchini. Kwa hakika kugombea iwe ubunge au udiwani ni kazi kwelikweli. Wagombea simu zao zinapokewa kila zikiita na kila ujumbe wanaujibu. Sitaki kuamini kuwa teknolojia ya…

Bajeti ya kujitegemea ni mwelekeo sahihi Tanzania

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dodoma Wiki iliyopita serikali imeleta furaha, matumaini na heshima kwa taifa letu. Nasema furaha, heshima na matumaini kwa nchi yetu si kwa jambo jingine, bali bajeti ya mwaka 2025/2026 iliyowasilishwa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk….

Gwajima ni sikio la kufa…

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nimesoma habari na kusikiliza matamko kwenye mitandoa ya kijamii. Nimemsikiliza askofu Josephat Gwajima. Kwanza niwape pole wakaazi wa Jimbo la Kawe. Nazifahamu ahadi alizozitoa kwao Askofu Gwajima. Mara Japan, Birmingham, magreda,…

CCM ni jiwe kuu la pembeni

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dodoma Leo naandika makala hii baada ya kutoka kanisani. Imenifikirisha nikiwa kanisani, hasa baada ya kukomunika katika kipindi cha ukimya, nikajiuiza hii habari ya CCM kuzindua Ilani yake ya 2025 – 2030 niandikeje? Nikajiuliza mafanikio makubwa…