JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Mauaji ya waandishi yameongezeka duniani kwa asilimia 38, ripoti ya UN yaonyesha

Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Utamaduni (UNESCO) imethibitisha kuongezeka kwa mauaji ya waandishi wa habari duniani kwa asilimia 38 katika kipindi cha miaka miwili (2022-2023) ikilinganishwa na miaka miwili kabla yake. Waandishi 162 wameuawa wakiwa kazini,…

Naibu Rais Mteule Kithure Kindiki kuapishwa leo

Kamati maalum imebuniwa kupanga kuapishwa kwa Kithure Kindiki kama Naibu Rais mpya nchini Kenya. Mkuu wa Wafanyakazi ambaye pia ni Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Kosgei ametangaza kwenye gazeti la serikali kamati ya wanachama 23 kusimamia kuandaliwa kwa hafla…

Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na…

Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini

Na Isri Mohamed Imezoeleka siku ya harusi ni siku ya furaha, shangwe, nderemo na vifijo hasa kwa maharusi wenyewe, lakini imekuwa tofauti kwa Mr Emile ambaye ameshuhudia mke wake akifariki mbele yake na wageni wakiwa ukumbini kwenye sherehe yao, ikiwa…

Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya

Hezbollah imetangaza kuwa naibu katibu mkuu wa kundi hilo atakuwa mkuu wake mpya. Naim Qassem anachukua nafasi ya kiongozi wa muda mrefu Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la anga la Israel huko Beirut mwezi uliopita. Ni mmoja wa viongozi…

Iran yamnyonga mpinzani raia wa Ujerumani

Iran imemnyonga mpinzani wa Ujerumani na Iran Jamshid Sharmahd, baada ya kukutwa na hatia ya “kuongoza operesheni za kigaidi”, vyombo vya habari vya serikali vinaripoti. Sharmahd alihukumiwa kifo mwaka jana baada ya kushutumiwa kwa kuongoza kundi la wafuasi wa kifalme…