Category: Kimataifa
Jeshi la RSF lateka Darfur Kusini
Jeshi la wapiganaji la Rapid Support Forces (RSF) limefanikiwa kumiliki Darfur Kusini huku kukiwa na taarifa zaidi za ukiukwaji wa haki za binadamu. Mapigano kati ya RSF na Jeshi la Sudan yamefanya familia kadhaa kuvunjika na kukosa makazi. Zipo taarifa…
Marekani yapeleka msaada wa kijeshi Ukrane
Wanachama wa Nato wanafikiria kuisaidia Ukraine silaha zaidi na risasi kwa ajili ya kuendelea kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi. Nchi ya Marekani imekuwa mstari wa mbele kutoa msaada mkubwa wa kijeshi kwa Ukraine, ambapo imetangaza tena kuwapa msaada mpya…
Azimio wamkalia kooni Ruto, watangaza maandamano tena wiki ijayo
Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA, Nairobi Katibu mkuu wa chama cha upinzani cha ODM nchini Kenya ambaye pia ni Seneta wa jiji la Nairobi Edwin Sifuna ameitisha maandamano ya siku tatu kuanzia wiki ijayo, akiapa kuzidisha maandamano dhidi ya serikali…

Balozi Polepole akipaisha Kiswahili Cuba
Balozi wa Tanzania Nchini Cuba Humphrey Polepole amesema waasisi wa Mataifa ya Afrika walifanya jukumu lao kwa harakati kubwa za kulikomboa Bara la Afrika na kwamba ni wakati wa kizazi cha sasa kuhakikisha wanaleta ukombozi wa kiuchumi barani na njia…
Rais Ruto atoa onyo kali la maandamano
Rais William Ruto ametoa onyo kali kuhusu maandamano ya Azimio yaliyopangwa kufanyika leo. Akizungumza mjini Ruai Jumanne, Rais alithibitisha kwamba hataruhusu maisha ya Mkenya yeyote kupotea kutokana na maandamano. “Walifanya maandamano, na Wakenya wasita wakapoteza maisha yao. Mnataka maandamano ifanyike,…