JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Benki ya Dunia yaidhinishia Tanzania mkopo nafuu wa Trilioni 5

Na Benny Mwaipaja, Washington D.C Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuitengea Tanzania jumla ya dola za Marekani bilioni 2.1 sawa na shilingi trilioni 4.9 katika mzunguko wa 20 wa IDA…

Serikali yaitaka UNHCR kusaidia kuwarudisha wakimbizi wa Burundi kwao

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezitaka Jumuiya ya Kimataifa na Washirika wa Maendeleo kusaidia mchakato wa kuwarudisha wakimbizi wa Burundi kwa hiari nchini kwao kwa kuweka sawa mazingira ya ndani ya nchi hiyo. Akizungumza katika…

Morocco yahalalisha ulimaji bangi

Serikali ya Morocco imetoa vibali 10 kwa wakulima kulima bangi kihalali kwa ajili ya viwanda na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima katika maeneo ya kaskazini ya al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya…

Papa Francis amtunuku Mtanzania Nishani ya Heshima

Baba Mtakatifu Papa Francis amtunuku Padre Richard Mjigwa, C.PP.S., kutoka Tanzania Nishani ya Msalaba wa Kanisa na Papa kutokana na huduma ya mawasiliano ya kanisa kupitia Radio Vatican Idhaa ya Kiswahili. Padre Mjigwa pia anahudumu katika Baraza la Kipapa la…