Category: Kimataifa
Putin ashinda urais Urusi
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameshinda uchaguzi wa rais kwa asilimia 87.97 ya kura, kulingana na matokeo rasmi ya kwanza yaliyooneshwa Jumapili baada ya zoezi la kupiga kura kufungwa. Putin,71, aliyeingia madarakani mwaka 1999, alipata muhula mpya wa miaka sita…
Sonko, msaidizi wake waachiwa huru
Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko, ameachiliwa huru siku chache kabla ya uchaguzi wa rais nchini humo uliopangwa kufanyika Machi 24. Bwana Sonko na msaidizi wake Bassirou Diomaye Faye, walikuwa katika gereza la Cap Manuel na kulakiwa na…
Waziri Mkuu Palestina ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammad Shtayyeh ametangaza kujiuzulu. Akitangaza uamuzi huo leo, Shtayyeh amesema uamuzi huo unatokana na serikali yake kutawala sehemu za Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. “Ninawasilisha kujiuzulu kwa serikali kwa Rais (Mahmud Abbas),” Shtayyeh amesema, na…
Jaji Afrika Kusini afunguliwa mashtaka
Bunge la Afrika Kusini limemfungulia mashtaka mmoja wa majaji wakuu wa nchi hiyo kwa utovu wa nidhamu. Uchunguzi uligundua kuwa John Hlophe, jaji mkuu katika jimbo la Western Cape, alijaribu kushawishi majaji katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo katika kesi…
Waziri Mkuu ashiriki mkutano wa tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Rwenzori uliyopo katika…





