Category: Kimataifa
Rais Kagame ashinda kwa kishindo matokeo ya awali uchaguzi Rwanda
Rais wa Rwanda Paul Kagame yuko mbioni kuongeza utawala wake wa miaka 24 kwa miaka mingine mitano katika ushindi wa kishindo, huku kura nyingi zikihesabiwa kutoka katika uchaguzi wa Jumatatu. Ana 99.15% ya kura kufikia sasa, na takribani asilimia 79…
Rais wa Shirikisho la Soka Colombia, mtoto wake wakamatwa
RAIS wa Shrikisho la Mpira wa Miguu Colombia(FCF), Ramón Jesurún, na mtoto wake wamekamatwa baada ya kutokea ugomvi wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Amerika Kusini’Copa América‘ Julai 14 katika jiji la Miami, Marekani. Ramón, 71, na Ramón…
Mtu tajiri zaidi barani Afrika asema hana nyumba nje ya Nigeria
Tajiri mkubwa barani Afrika Aliko Dangote amewashangaza watu wengi wa Nigeria baada ya kusema hana nyumba nje ya nchi hiyo. Dangote alisema alikuwa na nyumba mbili – katika mji aliozaliwa wa Kano, na Lagos – na aliishi katika nyumba ya…
Polisi 200 zaidi wa Kenya waelekea Haiti
Maafisa wengine 200 wa Polisi wa Kenya waliondoka Jumatatu usiku kuelekea Haiti, chini ya mpango unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa unaolenga kumaliza ghasia za magenge ya wahalifu katika taifa hilo la Caribbean. Maafisa wengine 200 wa Polisi wa Kenya…
Muuaji wa wanawake 42 Kenya akamatwa akiwa klabu
Jeshi la Polisi nchini Kenya limetangaza kumkamata kijana Collins Jumaisi Khalusha (33) ambaye amekiri kuwaua Wanawake 42, baada ya kugunduliwa kwa miili tisa iliyokatwakatwa na kutupwa jalalani pembezoni mwa Mji mkuu wa Nairobi. kwa mujibu wa mkurugenzi wa makosa ya…
Biden ataka Wamarekani watulize joto la kisiasa
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kutuliza joto la kisiasa kufuatia jaribio la kumuua hasimu wake katika uchaguzi ujao Donald Trump huko Pennsylvania Jumamosi. Akizungumza na taifa kupitia afisi ya Oval kwenye ikulu…





