Category: Kimataifa
Mafuriko mapya yasababisha vifo vya watu 66 Afghanistan
Mafuriko mengine mapya yamewaua watu 66 katika Mkoa wa Faryab kaskazini mwa Afghanistan. Mamia ya watu wamekufa katika mafuriko tofauti mwezi huu ambayo pia yamesomba mashamba . Mafuriko mengine mapya yamewaua watu 66 katika mkoa wa Faryab kaskazini mwa Afghanistan….
Gumzo la nani atachukua nafasi yake Rais Iran
Rais Ebrahim Raisi alikuwa karibu kufikia nafasi ya juu ya madaraka katika Jamhuri ya Kiislamu na alipendekezwa sana kupanda hadi nafasi hiyo. Kufariki ghafla kwa Rais Ebrahim Raisi katika ajali ya helikopta siku ya Jumapili kumezua gumzo la nani hatimaye…
Waziri Makamba awasili nchini China kwa ziara ya kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba amewasili nchini China kuanza ziara ya kikazi. Ziara hii mbali na kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia wa kihistoria uliopo baina ya mataifa haya mawili ni muendelezo wa utekelezaji wa…
Rais Brazil aliomba bunge kutangaza janga la mafuriko, watu 85 wapoteza maisha
Rais wa Brazil Inacio Lula da Silva ameliomba Bunge la nchi hiyo kutangaza uwepo wa janga kwenye jimbo la kusini la Rio Grande do Sul baada ya watu 85 kupoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yanalolikumba eneo hilo. Hatua hiyo…
Urusi kufanya mazoezi ya nyuklia kufuatia ‘vitisho’ vya nchi za Magharibi
Urusi imeanza maandalizi ya mazoezi ya makombora karibu na Ukraine yakiiga matumizi ya silaha za kimkakati za nyuklia ili kukabiliana na “vitisho” vya maafisa wa nchi za Magharibi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov alisema kauli za hivi majuzi za Rais…





