Category: Kimataifa
Serikali yaitaka UNHCR kusaidia kuwarudisha wakimbizi wa Burundi kwao
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezitaka Jumuiya ya Kimataifa na Washirika wa Maendeleo kusaidia mchakato wa kuwarudisha wakimbizi wa Burundi kwa hiari nchini kwao kwa kuweka sawa mazingira ya ndani ya nchi hiyo. Akizungumza katika…
Morocco yahalalisha ulimaji bangi
Serikali ya Morocco imetoa vibali 10 kwa wakulima kulima bangi kihalali kwa ajili ya viwanda na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima katika maeneo ya kaskazini ya al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya…
Papa Francis amtunuku Mtanzania Nishani ya Heshima
Baba Mtakatifu Papa Francis amtunuku Padre Richard Mjigwa, C.PP.S., kutoka Tanzania Nishani ya Msalaba wa Kanisa na Papa kutokana na huduma ya mawasiliano ya kanisa kupitia Radio Vatican Idhaa ya Kiswahili. Padre Mjigwa pia anahudumu katika Baraza la Kipapa la…
Tanzania yaanza kufikia mabadiliko endelevu ya kidijitali
Na Innocent Mungy,JamhuriMedia,Bucharest Tanzania inatekeleza mfumo wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitali, ambao utahakikisha sekta zote za uchumi zinatumia TEHAMA huku ikiwezesha mabadiliko ya kidijitali yanayojenga jamii jumuishi ya kidijitali kwa ajili ya maendeleo endelevu. Hayo yalisemwa na Mheshimiwa Nape…





