JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Huawei yajitutumua licha ya kubanwa na vikwazo

Licha ya vikwazo inavyowekewa na Marekani, Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Huawei ya China imepata mafanikio makubwa katika biashara zake mwaka uliopita. Taarifa kutoka ndani ya kampuni hiyo ambayo inajulikana kwa kutengeneza simu za mkononi, mapato yake yamekua huku…

Kisarawe wanufaika na kampeni ya afya

Jopo la madaktari kutoka mikoa ya Pwani na Dar es Salaam wakiongozwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Dk. Stanford Mwakatage, wamefanya kampeni maalumu ya kutoa matibabu na upasuaji kwa gharama nafuu kwa wananchi wa wilaya hiyo. Dk. Mwakatage…

Musoma, Butiama kupata maji kwa asilimia 100

 MUSOMA NA JOVINA MASSANO   Maji ni uhai kwa kila kiumbe kilichopo katika dunia. Kama msemo huo una ukweli ndani yake, basi wakazi katika vijiji kadhaa katika wilaya za Musoma Vijijini na Butiama wanatarajia kuanza kupata uhai huo, kwani wataanza…

Wajasiriamali wabainisha fursa kwenye taka

DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Kuna fursa nyingi za kiuchumi na kimazingira ambazo zimejificha katika taka ambazo kimsingi zinaonekana hazina faida yoyote katika jamii. Hayo yamebainika katika maonyesho ya siku mbili ya wajasiriamali wa mazingira nchini. Katika maonyesho hayo…

Safari ya Uingereza kuondoka EU yaiva

London, Uingereza Safari ya Uingereza kujiondoa katika Jumuiya ya Ulaya (EU), maarufu kama Brexit imeiva. Hii ni baada ya Chama cha Conservative chini ya Waziri Mkuu Boris Johnson kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 12. Boris sasa ataweza…

TMDA yakamata dawa bandia za mamilioni

Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita Mamlaka ya Vifaa Tiba na Dawa (TMDA) imefanikiwa kukamata  dawa bandia zisizofaa kwa matumizi ya binadamu na mifugo zenye thamani ya Sh milioni 56.966. Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo inaonyesha kuwa katika mwaka wa…