JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Raia wa Syria Waandamana kupinga Mashambulio ya Uturuki

Maelfu ya watu katika mji uliodhibitiwa na wakurdi Afrin, kakazini mwa Syria wamefanya maandamano kupinga mashambulizi yanaoendeshwa na Uturuki. Uongozi wa ndani wa eneo hilo, wametoa tamko kwa mataifa ya nje kusaidia kusimamisha mapigano hayo, na wameishutumu Urusi kuhusika na…

ANGELA MERKEL AANZA KUUNDA SERIKALI

NA MTANDAO Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema anakamilisha utaratibu wa kuangalia namna ya kuunda serikali ya mseto kwa kushirikiana na viongozi wa vyama vya Social Democratic na SPD. Amesema wanatarajia kwendaย mbele katika jitihada zao za kuunda serikali na ndiyo…

RAIS TRUMP AZIDI KUANDAMWA

WASHNGTON, MAREKANI Seneta wa Chama cha Republican nchini Marekani,ย Jeff Flake, amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa matamshi yake ya mara kwa mara yanayoonekana kuvishambulia vyombo vya habari . Akizungumza katika Baraza la Seneti nchini humo,ย amesemaย kiongozi aliyeko madarakani anapokuwa na mazoea…

DAKTARI WA WHITE HOUSE ATHIBITISHA KUWA RAIS TRUMP HANA TATIZO LA AKILI

Rais Trump hajaonyesha dalili zozote za matatizo ya kiakili kufuatia uchunguzi wa kiafya na yuko la afya nzuri, daktari wa White House amesema. “Sina wasi wasi wowote kuhusu afya ya akili ya Trump,” Ronny Jackson alisema Jumanne. Wiki iliyopita Trump…

KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI ETHIOPIA AACHIWA HURU

Serikali ya Ethiopia inasema imemuachilia mwanasiasa maarufu wa upinzani baada ya zaidi ya mwaka mmoja kizuizini. Kuachiliwa kwa Merera Gudina mkuu wa chama cha Oromo Federalist Congress, kunafanywa kama sehemu ya jitihada ya kutafuta uwiano wa kitaifa. Siku ya Jumatatu…

MATAMSHI YA TRUMP YASABABISHA BALOZI WAKE KUACHIA NGAZI PANAMA

Balozi wa Marekani nchini Panama amejiuzulu kwa sababu anasema kuwa hawezi tena kuhudumu chini ya utawala wa rais Trump. John Feely ,rubani wa ndege wa jeshi la wanamaji alisema kuwa ilikuwa na heshima kubwa kwake kujiuzulu. Idara ya maswala ya…