Category: Kimataifa
MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI YASABABISHA VIFO VYA WATU 80 NIGERIA
Takribani watu 80 wameuawa nchini Nigeria katika jimbo la Benue tangu kuanza kwa mwaka huu mpya. Hiyo ni kwa mujibu wa ofisa wa wakala wa dharura. Mapigano kati ya wafugaji wa jamii ya Fulani na wakulima yamekuwa yakiongezeka tangu mwaka…
Meli ya Kubeba mafuta Yateketea kwa Moto Pwani mwa China
Hali mbaya ya hewa inatatiza juhudi za kuzima moto na kufuja kwa mafuta zaidi ya saa sitini. Meli ya mafuta ya Iran inateketea kwa moto baada ya meli mbili kugongana kusini mwa bahari ya China. Meli hiyo kwa jina Sanchi…
Zimbabwe Yachunguza Shahada ya Uzamifu ya Grace Mugabe
Mamlaka ya kukabiliana na ufisadi nchini Zimbabwe imeanzisha uchunguzi kuhusu shahada ya udaktari iliopewa mkewe Robert Mugabe, Grace Mugabe kulingana na ripoti ya AFP. Phyllis Chikundura ,msemaji wa tume ya kukabiiana na ufisadi nchini humo alithibitisha kuwa kulikuwa na uchunguzi…
Mfumko wa bei wasababisha maandamano Tunisia
Mtu mmoja amekufa na wengine watano kujeruhiwa katika maandamano ya kiuchumi katika mji mkuu wa Tunisia, tunis. Maandamano hayo yameenea katika maeneo mengine kumi nchini humo. Uchumi wa nchi hiyo umekua ukitetereka tangu mwaka 2011 wakati kiongozi wa kipindi hicho…
KOREA KASKAZINI NA KOREA KUSINI ZAANZA MAZUNGUMZO
Mkutano huo unaofanyika katika kijiji cha Panmunjom ambapo mazungumzo yao yanahusu uwezekano wa Korea Kaskazini kushiriki katika mashindano ya Olimpiki ya msimu wa baridi yatakayofanyika Korea Kusini mwezi wa pili. Waziri wa muungano wa Korea Kusini , Cho Myoung-Gyon amesema…
Jumba la Trump New York Lawaka Moto
Maafisa wa kuzima moto wameitwa katika jumba la Trump Tower katika kisiwa cha Manhattan jijini New York kuzima moto uliokuwa umezuka kwenye ghorofa ya juu ya jengo hilo. Idara ya kuzima moto ya New York imesema moto huo ulidhibitiwa na…





