Category: Kimataifa
Maandamano yazuka Kampala kupinga kukamatwa mbunge Bobi Wine
Vikosi vya usalama nchini Uganda wamewakamata watu 10 waliojihusisha na maandamano ya kupinga kukamatwa kwa Mbunge wa upinzani, Bobi Wine ambaye alikamatwa na kushitakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi wiki iliyopita. Shughuli za Biashara zimesimama katika Jiji la Kampala, leo Mchana…
Familia za Korea Kaskazini na Kusini zilizotenganishwa na vita zakutana kwa mara ya kwanza
Kundi la watu wazee kutoka Korea Kusini kwa sasa wako nchini Korea Kaskazini kukutana na jamaa zao wenye hawajawaona tangu vimalizike vita vya mwaka 1950-1953. Vita hivyo vilisababisha rasi ya Korea kutengana na watu waliokuwa wanaishi upande wa Kaskazini wasikuwe…
Basi la abiria lateketea kwa moto Kigoma
Basi la Kampuni ya Saratoga lenye namba za usajili T476 ADG lililokuwa likitoka mkoani Kigoma kwenda Sumbawanga limeteketea kwa moto eneo la Kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma. Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ACP Martin…
Rais wa Uganda Museveni anakanusha kwamba Bobi Wine amejeruhiwa
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu afya ya mbunge huyo aliyekamatwa na vikosi vya usalama nchini, Museveni amevishutumu vyombo vya habari kwa kile alichokitaja ni kueneza habari…
Tutaendelea Kumkumbuka Kofia Annan
Jana August 18, 2018 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki jana Agosti 18 nchini Uswisi akiwa na umri wa mika 80 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Inaelezwa kuwa Annan ambae alikuwa ni Raia wa Ghana…
Emmanuel Ramazani Shadari ndiye atakayemrithi rais Joseph Kabila DR Congo
Marekani imepanga kuweka vikwazo vipya kwa Urusi ikiwa ni kujibu kitendo cha shambulizi la sumu la afisa wa zamani wa usalama wa Urusi Sergei Skripal na mtoto wake wa kike nchini Uingereza. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa…





