JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

WHO: Chanjo ya Ebola imeanza kutolewa kusini mwa Kongo

Shirika la Afya duniani, WHO, limesema utoaji chanjo kwa watu walio kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa Ebola umeanza jana Jumapili kusini mwa jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Mlipuko wa ugonjwa huo hatari uliripotiwa…

WHO yaapa kubakia Gaza

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema wafanyakazi wake wataendelea kubakia kwenye Jiji la Gaza licha ya miito ya Jeshi la Israel kuwataka watu wahame kwenye kitovu hicho cha Ukanda wa Gaza. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisema juzi…

Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Mataifa waanza

Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea jijini New York ambapo viongozi mbalimbali wa dunia wanahudhuria na wanatarajiwa kuhutubia katika kikao hicho cha 80 kinachogubikwa na vita vya Gaza na Ukraine. Kikao hicho Baraza Kuu la Umoja la…

Waziri Mkuu wa Japan atangaza kujiuzulu

Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ametangaza kujiuzulu Jumapili baada ya chini ya mwaka mmoja madarakani. Tangazo lake limekuja baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party (LDP), kupoteza wingi wa viti bungeni. Ishiba, mwenye miaka 68, alisema ataendelea kushika…

Mgomo wasababisha mamilioni ya abiria kukwama London

Mamilioi ya watu wanajiandaa kwa wiki ya changamoto ya usafiri jijini London Uingereza kutokana na mgomo wa treni za chini kwa chini. Mamilioni ya watu wanajiandaa kwa wiki ya hekaheka na matatizo ya usafiri jijini London Uingereza huku wafanyakazi wa…

Trump yuko tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi

Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria yuko tayari kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi kwa awamu ya pili ya vikwazo. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali la mwandishi habari katika ikulu yake mjini Washington siku ya Jumapili lakini hakusema…