JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Iran yasisitiza haitoacha urutubishaji wa urani

Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani. Tamko hili la Araghchi linaonyesha msimamo wa jamhuri hiyo ya Kiislamu katika mazungumzo yake na Marekani kuhusiana na mpango wake wa nyuklia unaokuwa kwa…

Waziri Mkuu wa zamani DRC ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa ufisadi

Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Augustin Matata Ponyo, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela pamoja na kufanya kazi ngumu, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma. Hukumu hiyo imetolewa na…

Wanajeshi sita wa Ukraine wauawa katika shambulio la Urusi

Shambulio la kombora la Urusi kwenye mazoezi ya kijeshi katika eneo la mpaka la Sumy la Ukraine limewaua wanajeshi sita na kuwajeruhi zaidi ya wengine 10, imesema Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa ya Ukraine. Wizara ya ulinzi ya Urusi hapo…

Ugonjwa unaomkabili Biden waibua maswali

Tangazo la Joe Biden kwamba amepatikana na saratani ya tezi dume limefufua maswali kuhusu masuala ya kiafya ambayo rais huyo wa zamani wa Marekani alikuwa akikabiliana nayo alipokuwa katika Ikulu ya White House. Katika taarifa ya Jumapili, ofisi ya Biden…

Zelensky aishutumu Urusi kwa kutaka kuendeleza vita vyake

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameishutumu Urusi kwa kutoshiriki kwa dhati kwenye mazungumzo ya amani na kwa kutaka kuendeleza uvamizi wake wa miaka mitatu, licha ya msukumo wa Marekani wa kusitisha mapigano. Matamshi haya ameyatoa siku moja baada ya Rais…

Trump :Urusi, Ukraine kuanza mazungumzo ya kusitisha mapigano

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Urusi na Ukraine zitaanza mazungumzo “mara moja” kuelekea kusitisha mapigano na kumaliza vita, baada ya mazungumzo ya simu ya saa mbili na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin. Trump, ambaye alielezea mazungumzo hayo kuwa yameenda…