JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Ukraine yalemewa na mashambulizi ya Urusi

Ukraine inaendelea kulemewa vibaya na mashambulizi ya Urusi kwa takribani miaka minne sasa tangu uvamizi huo bila ya dalili ya vita hivyo kupata ufumbuzi licha ya hatua kadhaa zilizochukuliwa na washirika wa Kiev. Alfajiri ya Jumanne (Januari 20), vikosi vya Urusi…

EU yaonya kuwa ushuru wa Trump utahatarisha hali ya kiuchumi

Mataifa yenye nguvu barani Ulaya yameonya jana kuwa vitisho vya ushuru vya Rais wa Marekani Donald Trump juu ya Greenland vinahatarisha hali ya kiuchumi wakati yakijaribu kupima jibu la mzozo huo unaopanuka. Katika taarifa ya pamoja, Denmark, Finland, Ufaransa, Ujerumani,…

Ukraine: Diplomasia si kipaumbele kwa Urusi

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema kuwa kama Urusi ingetaka kweli kumaliza vita, ingejikita katika diplomasia badala ya kujaribu kudhuru mitambo ya nyuklia ya Ukraine. “Iwapo Warusi wangekuwa na nia ya dhati ya kumaliza vita, wangejikita kwenye diplomasia, siyo mashambulizi…

Watu 21 wafariki kwa ajali ya treni Uhispania

WATU 21 wamefariki dunia na wengine wapatao 30 wamejeruhiwa vibaya baada ya treni mbili kugongana kusini mwa Uhispania usiku wa Jumatatu (Januari 19). Waziri wa Usafirishaji wa Uhispania, Óscar Puente, amesema treni hizo za mwendokasi yaligongana majira ya saa moja…

Maelfu waandamana kupinga azma ya kuidhibiti Greenland

Maelfu ya watu wamejitokeza katika mitaa ya mji mkuu wa Denmark wa Copenhagen hivi leo, kupinga azma ya Rais Donald Trump ya kutaka kuichukua. Maelfu ya watu wamejitokeza katika mitaa ya mji mkuu wa Denmark wa Copenhagen hivi leo, kupinga…

Museveni wa Uganda ashinda muhula wa saba wa Urais

Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imesema Rais Yoweri Museveni ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi wa urais wa Uganda. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Simon Mugenyi Byabakama amesema siku ya Jumamosi. Matokeo rasmi ya uchaguzi yanaonyesha, Museveni ameshinda muhula wake wa…