Ridhiwani Kikwete, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze, ameungana na viongozi wenzake pamoja na wananchi kuhani msiba wa Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Mkoa wa Kusini Unguja septemba 8,2026.
Ridhiwani pia amepata nafasi ya kumuhani Dkt. Samia Suluhu Hassan na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ampe nguvu, subira na imani katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza Mwenza wake.
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji’un