Category: Kimataifa
UN yaitaka Iran kusitisha mipango ya kuwaua waandamanaji
Umoja wa Mataifa umeitaka Iran kusitisha mpango wa kutekeleza hukumu ya kifo kwa waandamanaji waliokamatwa na ichunguze taarifa zote za vifo kwa uhuru na uwazi. Wito huo umetolewa jana na Martha Pobee, katibu mkuu msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayehusika…
Marekani yatishia kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran
Marekani kwa mara nyingine imeitishia serikali ya Iran juu ya uwezekano wa kuchukua hatua za kijeshi kutokana na ukandamizaji wakati wa maandamano makubwa ya kitaifa. Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Mike Waltz, kwenye kikao cha Baraza la Usalama…
Gharama za kupasha joto Ujerumani kuongezeka
Katika msimu wa baridi kali, matumizi ya nishati huongezeka kwa sababu watu hutumia muda mwingi ndani ya nyumba na wanahitaji joto la kutosha ili kukabiliana na baridi kali – hali hii husababisha bili za nishati kupanda. Raia nchini Ujerumani wanatarajiwa…
Zelensky kutangaza hali ya dharura katika sekta ya nishati
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atatangaza hali ya dharura katika sekta ya nishati kote nchini humo. Zelensky amesema hatua hiyo itawezesha kushughulikia operesheni za usambazaji wa umeme ziliovurugika kufuatia mashambulizi ya Urusi kwenye miundombinu ya nishati. Kauli ya Zelensky…
Urusi : Droni za Ukraine zimeua 24 Kherson
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilitaja tukio hilo kuwa “shambulio la kigaidi,” huku ikisema Rais Vladimir Putin amearifiwa. Mamlaka zilizowekwa na Urusi katika eneo la Kherson nchini Ukraine zimesema zaidi ya watu 24 wameuawa baada ya shambulio la…
Jengo la ghorofa 16 linaloendelea kujengwa laporomoka jijini Nairobi
Watu wawili wanahofiwa kukwama baada ya jengo la orofa 16 lililokuwa likijengwa kuporomoka katika eneo la South C jijini Nairobi. Operesheni ya uokoaji inayohusisha vitengo tofauti ikiwa ni pamoja na wanajeshi, polisi, huduma za dharura za kaunti ya Nairobi na…





