JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Bill Gates atangaza kuipatia Afrika Dola bilioni 200

Bilionea wa Marekani Bill Gates ametangaza leo Jumanne kwamba kiasi kikubwa cha mapato ya Wakfu wa Gates ya dola bilioni 200 kitatumika barani Afrika katika kipindi cha miongo miwili ijayo. Gates, ambaye Mei 8 alisema kuwa ataufunga wakfu huo ifikapo…

Guterres: Shambulizi dhidi ya wapalestina lichunguzwe

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa uchunguzi huru wa vifo vya Wapalestina zaidi ya 30 vilivyotokea karibu na kituo cha kugawa misaada kinachoratibiwa kwa ushirikiano Marekani huko Gaza. Wapalestina zaidi ya 30 waliuawa karibu na…

Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Nigeria yafikia 151

Zoezi kubwa la uokoaji linaendelea nchini Nigeria kuwatafuta watu kwenye maeneo yaliyokumbwa na mafuriko ya kutisha ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya watu 151. Hayo yameelezwa na Rais wa nchi hiyo Bola Tinubu ambaye pia ametahadharisha kuwa idadi ya vifo…

Mama mzazi aliyemuuza binti yake kwa mganga afungwa maisha

Mwanamke wa Afrika Kusini aliyepatikana na hatia ya kumteka nyara na kumsafirisha bintiye mwenye umri wa miaka sita amehukumiwa kifungo cha maisha jela pamoja na wenzake wake wawili. Racquel ‘Kelly’ Smith (35), mpenzi wake Jacquen Appollis na rafiki yao Steveno…

Mahakama ya Marekani yasitisha ushuru wa Trump

Mahakama ya shirikisho nchini Marekani imesitisha ushuru mkubwa uliowekwa na Rais Donald Trump hatua ambayo ni pigo kubwa kwa sehemu muhimu ya sera zake za kiuchumi. Mahakama ya Kimataifa ya Biashara iliamua kwamba sheria ya dharura, ambayo Ikulu ya White…

Daktari Ufaransa aenda jela miaka 20 kwa kuwabaka wagonjwa 229

Mahakama ya Ufaransa imetoa kifungo cha juu cha miaka 20 jela kwa daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri kuwadhulumu kingono mamia ya wagonjwa, wengi wao wakiwa watoto, kwa zaidi ya miongo miwili. Kesi hiyo iliyodumu kwa miezi mitatu ya Joel…